Hii tamthilia ninzuri sana lakini mnakera na hawa walevi huku ju mnawapa nafasi kubwa sana,, kama uko pamoja na mm gonga like hapa ,,, much love from kenya ❤❤❤
Hii movie 🎥 ni nzuri sana lakin baadh ya matukio hawaonuesh yanavyo endelea. Kwafano kijana amekula chakula chenye sum lakin hawajatuonyesha namna wanavyo fanya jitihada za matibabu... Bt movie ina mvuto wa aina yakee
Baba yake zuu sijakuelewa kabisa anachukuliaje jambo kubwa hivyo kirahisi rahisi jaman sijapenda kabisa alichokifanya bahati mbaya unakata mtu na panga 😮😢😢 weeee sio kweli
Huyu mama ni shetani wa mwisho maana hata hana haya na hao watoto huyu mzee si wake mtoto wake zuu ila ipo siku atakuja juta huyu mzee mimi mayeee aya🤔🤔🤔
Keina kumbe iyoyote nnawe unamutaka lame pole sana sasa ukoinje hamuna wabwana mpaka mumushupaliye Lame nauku mukimuzarau mukimutusi eti mutumishi kumbe nakaroho cefu
Hii tamthilia ninzuri sana lakini mnakera na hawa walevi huku ju mnawapa nafasi kubwa sana,, kama uko pamoja na mm gonga like hapa ,,, much love from kenya ❤❤❤
Tena wanakera sana 😂
Mm narukisha wallai Kwanza huyo Wa domo kubwa jnm anaboo Sana😃😃🤦
Kumbe ata wewe umekerwa kama mimi
Pia mm wananikere nikifika kwahawa walevi narukisha Wana biboo mm
Mm napenda walking styles 😂😂😂
Huyu babu anavyo ongea kama yule robot wa bungeni 😂😂😂😂
Duh hongereni sanaaaaa
Toka nianze fatilia hii move cjawah omba like leo naombeni jmn hat 5 tu
Hii movie 🎥 ni nzuri sana lakin baadh ya matukio hawaonuesh yanavyo endelea. Kwafano kijana amekula chakula chenye sum lakin hawajatuonyesha namna wanavyo fanya jitihada za matibabu... Bt movie ina mvuto wa aina yakee
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Sania acha kulia kisa mapenzi
sania nakupenda saaaaaan jomoni💯🌹🌹
Candy njoo ushugulikie hawa paka wasio na wazazi wanazingua Sana hasa hili li keina
Sania umechoka na mapenzi mama,C chiko C Tasha, C gonde sahi uko kwa kijana wa kzi waaa pole Sania kwababu ujawai pata patina ,wako
Yaan huu movie duuh😂 hiki chumb ch sania ni chumb ch kai n candy kweny housegirl lkn sasa nashangaa tunaoneshw kw nje nyumb tofaut😂
Duh mdada unamacho
Unaona mbali dada😂😂😂😂
Haichukui nafasi ya Daktar lakin inatoa wazo la kile unachoweza kujifunza😂what matter is content 😂
right ningekuw mim lami ningefyek wote hasa huy keira arivy na nyxhi hivy
Zuu nampenda
Mimi sijawai pata ata like moja 😂 leo mnilikie ata kama n mbili tu 😂
Unataka kuzipeleka wapi hizo like
Ooooooooooo nzuri
Lete miendlezo mungu jamni mbna kipande kmoja kimojaa kila sikuu
Hongereni sna kwa kazi nzuri 🎉
Wallai nilisema kuwa Sania n dadake watakuwa maadui wa.kubwa Sana Yani hii Meji ndio bado mbichi 😀😀🫣
Nakuunga mukono uwa dui razma utato kea
Wote hawa wanamtaka huyo Rammy
@@نيجي-ن1د wallai bt siku hizi Sione update au kiliisha🙄
Uyo mwananuk mweny lohoo mbay munip mim 2nawezan nae
Hakika hii movie ni mzr san nimeipend san km uk na mm gong like ap
Wapi like za mlevi🤣🤣🤣🤣🤣
Leo pia nimejaribu sn wa sita 🎉naomba likes zenu pls😂😂😂
Wekijana wakazi siumuambie mzee kuhusu ao paka wake watakuuwa kwa wivu wamapenzi wakupa sumu ukaponea ujui amepangann
Mpuuzi sana huyu ngoja auliwe mwanzo
Mapenzi yanauma bwana asikwambie mtu sania hajapata usingizi
We mama wewe mbaya sana sikupendi ata kidogo
Hv jaman 😭 samahan nini humu niwalize swali hzo like mnazo omba manazipelekag wap???????
Wew sakina nae uvae sidiria ziwa moja chin moja juu ndio nin
Sania unavaa nguo za uchi Sana unatudhalilisha Sana wanawake wenzio
😂anavaa uhusika,
Uhusika wa uchi
Gong like anae mkubl lamik
Sania hapendezi kua mtoto wa kishua ila za uswahilini uko vzr sana
Kweli kabisaa 😅😅😅
Amezowea kuchamb 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣na mimba yake y mganga
@@fatumamkuzi8051 Yaaaan 🤣🤣🤣
Baba Zou uyo mwanamuke unaichi naye si shetani mahal watoto siwako mutoto Wako ni Zou tu amuka kwenye usingizi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kweli hii Burundi 🎉
❤❤❤ mapenzi yanauma kuliko yanavouma
Wewe baba zuu ebu amka katika uwo usingiz huyo si binadam unaish nà shetan mwenye mguu mmoja
Mmetisha
Inamana pia unie nae azija mwenye pesa kumzidi utamuacha sania atauwawa na mahaba😂
❤❤❤❤kaliii
Kwani keina unataka rami mbona kama unawashea saana
Mlev 😂😂😂 katieha sana
My destin inanifunza kwel kabisa
Mamake kirikuu leo amekasirika😅😅😅😅
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Baba yake zuu sijakuelewa kabisa anachukuliaje jambo kubwa hivyo kirahisi rahisi jaman sijapenda kabisa alichokifanya bahati mbaya unakata mtu na panga 😮😢😢 weeee sio kweli
Lizee lenyewe limekaa tu kama zwazwa vile
Mapenzi yooh😢nilikaa njaa siku nne kavu,kisa mapenzi kumbavu zangu mimi😢
Nyie watoto mtaleta kaz kwa kwel yng macho🙄
Ila keinaaa izi tabia azikupendez kiukwel
Kaz zuriui🎉❤
Wakwanza leo😂😂😂😂😂
Huyu mama ni shetani wa mwisho maana hata hana haya na hao watoto huyu mzee si wake mtoto wake zuu ila ipo siku atakuja juta huyu mzee mimi mayeee aya🤔🤔🤔
Uyo kijana mdogo mnagombania
Dah hapo me ninge mega wote tu😢
Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉hongereni
Leo nimekuwa wa 8😊😊
Keina anaongea vibaya 😏😏😏
Keina kumbe iyoyote nnawe unamutaka lame pole sana sasa ukoinje hamuna wabwana mpaka mumushupaliye Lame nauku mukimuzarau mukimutusi eti mutumishi kumbe nakaroho cefu
❤❤❤🎉watatu
Ongezeni mudaa basii alafu hao walevii mnawapa muda mwingii wanafanya ya ovyoo
Mov Kali lakini walevi
Wakwanza leo
🎉🎉🎉🎉🎉
Keyna umalaya kuolewa Aaaaaa
Sijaelewa san
Nikweli.walevi.wanakera
Mmmhuuu jamani
Lami namkubli ako fity
Hii binaural lkin walevi dio nko na time kubwa
Huyu mzee ni mume bwege
Ubaya ubwela
❤❤
Mbya kwel yaleo
Sania unalombaya ww
Sasa wewe Rami umeperekwa namapenzi aho kazi
Acha uvururwe unayataka wewe
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Munipe like hata moja😢
❤❤🎉🎉
❤🎉
Mwanamke anajupua kama jipu sura mbaya roho mbaya simpendi😅
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉
❤❤
❤❤❤❤